Rapa Wiz Khalifa amethubutu tena kutumia hoverboard yake kutembea kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa LAX hata baada ya kukamatwa na kupigwa marufuku kufanya hivyo na polisi wa uwanja huo.
Siku 6 zilizopita Wiz Alikamatwa baada ya kukata kutii amri ya polisi ya kushuka kwenye chombo hicho akiwa airport.
Weekend hii Wiz amevalia suti na kutumia chombo hicho na hakuna aliyemkamata.
No comments:
Post a Comment