Gari
la Mgombea Ubunge jimbo la Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi Sugu likiwa
kituo cha Polisi kati jijini Mbeya mara baada ya kushambuliwa kwa mawe
na watu wanaosadikiwa kuwa ni wafuasi wa CCM
Kwenye Album ya Staa wa Marekani, Chris Brown ambayo ilitoka mwaka 2014 akaipa jina la ‘X‘, kuna hit single ya ‘Don’t Think They Know‘ ambayo producer wa Chris alifanya mautundu ikapatikana sauti ya Marehemu Aaliyah na ngoma ikawa hit kubwa Duniani !!
Sio Fareed Kubanda maarufu kama Fid
Q pekee aliyetajwa kufanya collabo na rapper wa Afrika Kusini, K.O bali
Weusi pia wametumia fursa hiyo. K.O yupo nchini kwa ziara ya siku mbili
ambapo amekuja kujitangaza zaidi na kuwa karibu na wasanii wa Tanzania.
Director wa Kwetu Studio Msafiri ambaye amerekodi ngoma mbalimbali ikiwemo ngoma ya ‘Sielewi’,ngoma za Hemed PHD..amesema
wameibiwa vifaa baada ya kuvamiwa wakiwa hotelini, wameiba camera, lens
pamoja na compyuta ambavyo gharama ni zaidi ya milioni 15.
Baada ya kuachia album yake iitwayo ‘1989’ msanii wa muziki wa Pop R&B nchini Marekani, Taylor Swiftamekuwa
akiweka headlines nyingi sana kuanzia kwenye ushindi wa tuzo na pia
hata kwenye rekodi za shows, na kwenye tour zake nyingi amekuwa
akiwaalika wasanii tofauti kuja kuperform nae jukwani… Lakini itakuaje
pale ambapo Rihanna ataombwa kwenda kufanya show na Taylor Swift!?
Nyota wa muziki wa Pop, Rihanna
hivi karibuni alijikuta akiaibika mbele ya mashabiki wake baada ya
kuvuja kwa kipande cha video katika mitandao ya kijamii kikimuonyesha
mpenzi wake mpya, Travis Scott akitumia dawa za kulevya aina ya Cocaine.
KUNDI la muziki kutoka nchini
Kenya, Sauti Sol, wamefanikiwa kuingia Ikulu ya nchini Marekani na
kufanya onyesho la muziki wao kwa Rais Barack Obama. Wasanii hao
walifika Ikulu hiyo kwa mwaliko wa rais huyo, baada ya mazungumzo yao
walisimama na kuimba, jambo ambalo lilimnyanyua Obama, akashirikiana na
wasanii hao kucheza wimbo waliokuwa wakiuimba.
DJ Fetty alijua kuwa anapendwa
lakini si kwa kiwango alichokiona jana mara baada ya kutangaza kuwa
anaacha kazi ya utangazaji kwenye kituo cha redio cha Clouds FM baada ya
kukitumikia kwa zaidi ya miaka 10.
September 16 2015 nilikusogezea stori kuhusu ishu ya mtoto wa miaka 14, Ahmed Mohamed mwanafunzi wa MacArthur High School iliyoko Irving, Texas Marekani kukamatwa na Polisi baada ya kwenda na saa ambayo Walimu waliifananisha na Bomu !!
MSANII wa hip hop nchini Marekani,
Curtis Jackson ‘50 Cent’ amemtaka msanii mwenzake, Kanye West, aondoe
wasiwasi juu ya urafiki wa watoto wao. 50 Cent ana mtoto wa kiume mwenye
umri wa miaka mitatu, huku mtoto wa Kanye West akiwa na miaka miwili na
sasa majina ya watoto hao yameanza kuwa na nafasi kubwa katika mitandao
ya kijamii.
Miaka 14 baada ya kifo chake Aaliyah amepata manukato yake. Kampuni
ya manukato ya Xyrena imetangaza ujio wa manukato yaliyotengenezwa kwa
ushirikiano na Diane na Rashad Haughton,ambao ni mama na kaka wa
Aaliyah.
Wasanii wa bongo fleva Nuh Mziwanda na Shilole wanaounda umoja wa
Shiwanda wamekuwa wakigombana na kupata kila baada ya miezi michache na
hali hii imetokea kuzoeleka na baadhi ya mashabiki wa muziki wao.
Muimbaji kutoka Nigeria Kcee amekuwa balozi wa kampuni ya ndege ya
Nigerian airline (Air Peace). Kcee amesema kujituma na kazi bora zaidi
ndizo zimempa nafasi hiikubwa kwenye maisha yake. Aliweka ujumbe huu
kuhusu shavu hilo. #FirstNigerianArtistToBeEndorsedByAnAirline #AirPeace
#BrandAmbassador #Alkayida #LimpopoKing”
Mitandao ya kijamii kwenye headlines… kama unahisi kuwa mtandao wa Instagramhauna muda wa kufuatilia wasanii na picha zao basi leo Instagram inakupa sababu tofauti kabisa!
Rapper wa Marekani Kanye West ambaye ni baba wa mtoto wa kike North West, mtoto aliyempata kwa staa wa kipindi cha Keeping Up With the KardashiansKim Kardashian, ametangaza kwa kushtukiza kufanya New York Fashion Week Show kitu kilichopelekea wabunifu wengine wa mavazi kubadili tarehe ya Fashion Show zao.
Damian Soul na G-Nako walirekodi
wimbo wao unaofanya vizuri kwa sasa ‘Tudumishe’ bila kutarajia. Damian
ameiambia Kikwetu Blog kuwa yeye na G-Nako walikuwa wamepanga kurekodi
wimbo mwingine kabisa ambao walikuwa wameshaanza kuurekodi lakini
haukuwa umemalizika.
Rapper kutoka Afrika kusini, K.O ameingia studio na Mwamba
wa Kaskazini Joh Makini usiku wa jana, Joh ameweka picha ikiwaonesha
wakiwa Studio ya “The Industry” iliyopo chini ya Prodcuer NahReel na
kuandika “#aboutlastnight#TheIndustry with
@mrcashtime#doingwhatwedobest Tunayaweza yote katika yeye atutiaye nguvu
Mengi makubwa yanakuja…. #GODENGINEERING #InshiNdotoyako”
Kufuatia tetesi kuenea mtandaoni kuwa staa wa Bongo Moveis , Vicent
Kigosi ‘Ray ‘ amehama UKAWA “team mabadiliko” na kwenda upande wa CCM.,
Ray amepanga kuvunja ukimya na kutoa tamko lake rasmi juu ya swala hilo.
Staa wa Bongo Movies, Irene Uwoya ambaye ameshapitishwa na hama chake
cha CCM kuwania ubunge wa viti maalum amewapa makavu baadhi ya wasanii
wenzake wa bongo movies ambao hawakiungio mkono chama cha mapinduzi
wakati baadhi yao walikuwa karibu sana na Rais Kikwete anaye maliza muda
wake.
Picha ya Mgombea Urais kwa tiketi ya UKAWA Mh. Lowassa akisaidiwa
kupanda jukwaani Manyoni Singida kwenye kampeni zake za Urais, Huko
Mitandaoni Kila Mmoja Ameongea lake..Je wewe Unasema Kuhusu Hii Picha ?
Miezi miwili iliyopita, Kundi la mziki la kenya ‘Sauti
Soul’ walishika vichwa vya habari baada ya kumchezesha style maarufu ya
Kenya ‘Lipala Dance’ raisi wa Marekani Barack Obama wakati wa ziara yake
nchini Kenya.
Mwanadada Dj kutoka nchini Kenya
Pierra Makena ametunikiwa tuzo kama mcheza filamu bora kwa kushiriki
katika filamu moja ya kinigeria ya "When Love Comes Around," wakati wa
awamu ya tano ya tuzo za Nollywood ambazo pia zinafahamika kwa tuzo za
Oscar za Afrika.
Shetta amedai kuwa wimbo wake
Shikorobo aliomshirikisha msanii wa Nigeria, KCEE imemtangaza pia msanii
huyo nchini Tanzania. Muimbaji huyo ameiambia Kikwetu Blog kuwa collabo
hiyo haijamsaidia yeye mwenyewe peke yake kwa kukuza jina lake katika
nchi za Afrika Magharibi bali pia msanii huyo ameongeza mashabiki katika
nchini za Afrika Mashariki.
Msanii wa Marekani mwenye asili ya Nigeria, Jidenna
anayefanya vizuri na major hit song yake ‘Classic Man’ ameweka wazi kuwa
msanii wa Afrika anayemkubali zaidi kwasasa ni Wizkid.
MKALI wa muziki wa reggae aliyewahi kuwa katika kundi la Necessary
Noise la nchini Kenya, Nazizi Hirji, ameungana na msanii wa Tanzania,
Zola D kwa ajili ya mafunzo ya mchezo unaotumia ngumi na mateke (Kick
boxer).
Ndani ya Los Angeles Marekani, Rapper Jay Zna mkewe Beyoncepamoja na mtoto wao Blue Ivy ni wapangaji kwenye mjengo ambao taarifa ikufikie kwamba mjengo wenyewe kumbe tayari umeuzwa !!
Rapper RickRoss amedaiwa kuiba gari la mtoto wake aina ya
BMW Alpina B7 ambayo aliinunua mwenyewe, Mama mtoto wa RickRoss, Tia
Kemp alipost picha kwenye mtandao wa Instagram ( tayari ameifuta) ya
mtoto wao akiwa mbele ya gari hilo na kuandika “Stolen Car Alert!!!… Rick Ross takes the car from his Son Again!!,” na kuTag mitandao mingi ya umbea ya Marekani.
Kundi bora la muziki, Barani afrika P-Square wameibuka na kuanza
kutupa maneno ya lawama mitandaoni kuhusu kituo cha runinga nchini mwao
Nigeria SoundCity kutokucheza Video zao.
Kazi yangu ni kuhakikisha nakusogezea kila stori inayonifikia na hapa
ninayo stori iliyochukua headlines Sept 9,2015 ya msanii wa Hip Hop
kutokea (Tanga) Roma Mkatoliki ambaye single yake mpya ilizuiliwa
kwenye baadhi ya vituo vya radio nchini.
Baada ya Kim Kardashian kuvunja rekodi ya Beyoncé kwa kuwa na
followers wengi zaidi instagram, msanii Taylor Swift naye amevunja
rekodi ya Kim Kardashian
No comments
Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara msimu wa 2015/2016 inatazamiwa
kuanza kutimua vumbi jumamosi Septemba 12, 2015 kwa michezo saba
kuchezwa katika viwanja tofauti nchini.
Ndanda FC ya Mtwara watakua wenyeji wa Mgambo Shooting katika uwanja
wa Nagwanda Sijaona mjini Mtwara, Wana kimanumanu African Sports
watawakaribisha Simba SC katika uwanja wa Mkwakwani jijini Tanga, huku
Wana Lizombe Majimaji wakiwa wenyeji wa maafande wa JKT Ruvu katika
uwanja wa Majimaji mjini Songea.
Azam FC watakua wenyeji wa Tanzania Prisons kaika uwanja wa Chamazi
Complex, Stand United FC chama la wana watawakaribisha Mtibwa Sugar
katika uwanja wa Kambarage mjini Shinyanga, Toto Africans
watawakaribisha Mwadui FC uwanja wa CCM Kirumba na Mbeya City watacheza
na Kagera Sugar katika uwanja wa Sokoine jijini Mbeya.
Jumapili Ligi Kuu itaendelea kwa mchezo mmoja tu utakaochezwa katika
uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam ambapo mabingwa watetezi wa kombe
hilo Yanga SC watawakribisha wagosi wa kaya Coastal Union.
Katika hatua nyingine klabu ya Kagera Sugar ya mkoani Kagera
itatumia Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mjini Tabora kwa mechi zake za
nyumbani dhidi ya Toto Africans (Sept 26), JKT Ruvu (Sept 30), Tanzania
Prisons (Oct 4) na Yanga (Oct 31).
Mabadiliko hayo yamefanyika kupisha shughuli ya uwekaji nyasi bandia
inayoendelea kwenye uwanja wao wa Kaitaba mjini Bukoba unaofanywa na
wataalamu kutoka Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA).
PENZI ni kikohozi, kulificha huwezi !
Habari ya mjini kwa sasa ni mahaba niue ya muuza nyago kwenye nyimbo za
wanamuziki wa Bongo Fleva, Agness Gerald ‘Masogange ’ na staa wa muziki
nchini Nigeria ‘Naija’ , David Adedeji Adeleke ‘Davido ’ baada ya
kuoneshana penzi zito hadharani .
Chanzo makini kimelieleza Ijumaa Wikienda kwamba, baada ya habari na
picha za Wolper na Mkongomani huyo kuripotiwa na gazeti ndugu na hili,
Risasi Jumamosi, mke wa ndoa wa mwanaume huyo alijitokeza na kuvunja
ukimya akimtaka mwigizaji huyo aachane na mumewe huyo mara moja kabla
hajamchukulia hatua za kisheria kwa sababu ameingilia ndoa yake.