Producer anayehusika na filamu ya maisha ya rapa 2 Pac ‘ Randall
Emmett’ amesema utengenezwa ji wa filamu hii unaanza December 2015.
Filamu hii itaongozwa na kutayarisha na producer Lenton Terrell “LT” Hutton.
LT Hutton amefahamika kama producer wa wasanii Snoop Dogg, Nate Dogg,
MC Ren na amekuwa akitaka kutengeneza filamu ya maisha ya 2 Pac kwa
zaidi ya miaka miwili.
Emmett anafahamika kama producer mkali kutoka Hollywood na
alitayarisha filamu kama Rambo ya mwaka 2008, End Of Watch ya 2012, Lone
Survivor ya 2013 na show ya Power ya 50 Cent
No comments:
Post a Comment