P the MC amepokea tuzo ya shaba kwa kuwa ngoma yake imepakuliwa mara elfu 50, Wakati Songa amepokea tuzo ya Silver kwa ngoma zake kupakuliwa mara Laki moja mtandaoni humo.
Wakongwe wa muziki wapongeza kitendo hiki cha Mdundo, kwani kinaleta motisha kwa wanahiphop kufanya kazi bora kila kukicha
No comments:
Post a Comment