Sio Fareed Kubanda maarufu kama Fid
Q pekee aliyetajwa kufanya collabo na rapper wa Afrika Kusini, K.O bali
Weusi pia wametumia fursa hiyo. K.O yupo nchini kwa ziara ya siku mbili
ambapo amekuja kujitangaza zaidi na kuwa karibu na wasanii wa Tanzania.
Usiku wa Jumanne hii, Weusi waliingia studio za The Industry zilizo chini ya producer Nahreel kurekodi wimbo huo.
Joh Makini amepost picha kwenye mtandao wa Instagram akiwa studio na rappe huyo.
“#aboutlastnight #TheIndustry with @mrcashtime #doingwhatwedobest Tunayaweza yote katika yeye atutiaye nguvu Mengi makubwa yanakuja….. #GODENGINEERING #IshiNdotoyako,” ameandika Joh Makini kwenye picha hiyo.
K.O ni msanii wa pili wa Afrika Kusini kushirikishwa na Joh Makini baada ya AKA.
Weusi wataungana na wasanii wengine wakali wa Tanzania Jumamosi ya September 26 kwenye Kili Festival katika viwanja vya Leaders Club.

No comments:
Post a Comment