Meneja wa Jahazi Morden Taarab Haji Mabovu amesema Jamaa mmoja aligombana na mlinzi huyo ambaye alikua akitaka kuingia kwenye shoo bure na baada ya ugomvi mkubwa alimpiga risasi ya bega la kushoto.
Mpaka sasa mlinzi huyo amelazwa katika hospitali ya KCMC akiendelea na matibabu
No comments:
Post a Comment