Mtandao wa TMZ umeongea na chanzo cha karibu na Rozey ambacho kimesema kuwa RickRoss amechukua gari na hajaiba kwasababu alilinunua mwenyewe na mtoto wake bado ana umri wa miaka 10 kwahiyo ni wazi kuwa hawezi kumiliki gari.
Friday, 11 September 2015
RickRoss amefilisika ? Adaiwa kuiba gari la mtoto wake
Mtandao wa TMZ umeongea na chanzo cha karibu na Rozey ambacho kimesema kuwa RickRoss amechukua gari na hajaiba kwasababu alilinunua mwenyewe na mtoto wake bado ana umri wa miaka 10 kwahiyo ni wazi kuwa hawezi kumiliki gari.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment