Wednesday, 16 September 2015

Nuh Mziwanda na Shilole wamefikia mwisho wao sasa.

nuh 2
Wasanii wa bongo fleva Nuh Mziwanda na Shilole wanaounda umoja wa Shiwanda wamekuwa wakigombana na kupata kila baada ya miezi michache na hali hii imetokea kuzoeleka na baadhi ya mashabiki wa muziki wao.

September 15 2015 msanii Nuh Mziwanda aliomba watu kupitia instagram kuacha kumuliza kuhusu Shilole na maisha yake, na baadae Nuh alibadilisha status yake na kuweka SINGLE BOY.
Nuh

No comments:

Post a Comment